Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,870
Amina.. jana uliishia wapi?amani ya bwana itawale
Amina.. jana uliishia wapi?amani ya bwana itawale
nilipata tumajanga ilibidi nilale lodge iliyo karibu naona unafurahia ushindi wa liverpol nowAmina.. jana uliishia wapi?
Sema we mtoto mzigua unajuaga kutudatisha sanaBuscar la vida tukutane View attachment 1114618
Haataaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Sema we mtoto mzigua unajuaga kutudatisha sana
Haataaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuunilipata tumajanga ilibidi nilale lodge iliyo karibu naona unafurahia ushindi wa liverpol now
Mimi nimeona kitu cha ziada hapo baada ya kuzoomBuscar la vida tukutane View attachment 1114618
Achana nachoMimi nimeona kitu cha ziada hapo baada ya kuzoom
Naachanaje nacho Mkuu? By the way uzima upo?Achana nacho
Upo mkuuNaachanaje nacho Mkuu? By the way uzima upo?
Poa kabisa tukisubiri idd tuchangie kodi vizuri mkuu.Nyie walevi na wanywaji mko poa?
Nini hiyo
Nini hiyo
Tipsy regent hy Lukuledi na vikawe ,ndio nimezaliwa huko, migombani street
Mzigo mpya mjini?Mac maroon whisky, trust me ijaribu hii