Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,196
- 4,553
Haya Sawa Mkuu je Leo tunaanzia wapiKilingeni moja iyo
Haya Sawa Mkuu je Leo tunaanzia wapiKilingeni moja iyo
HahahahaKitu cha black label balaa
Dah acha tu
Best mwaliko wapi tukaribishaneHahahaha
Safi unatafuta hapetaiti ya msosiNimealikwa sehemu,Kabila sijafika huko napasha kdg ,Eid Mubarak View attachment 1118421
Huko ktk party naambiwa kuna pombe Kali tu, halafu party ya wadada wa kicongo,mixer Rwanda na ZambiaBaridi ya leo captain Morgan inafaa
Porini huku BestBest mwaliko wapi tukaribishane
Rafiki kwema hukoHuko ktk party naambiwa kuna pombe Kali tu, halafu party ya wadada wa kicongo,mixer Rwanda na Zambia
Kwema kabisa huku RafikiRafiki kwema huko