Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,870
Hahahaaa..Ni kweli kabisa kwa mfano ukinywa boha lazima lisafishe tumbo asuburi.... Ukinywa gongo minyoo na vimelea vyote chalk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa..Ni kweli kabisa kwa mfano ukinywa boha lazima lisafishe tumbo asuburi.... Ukinywa gongo minyoo na vimelea vyote chalk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ,hizo maalum kwa ajiri yangu
Bamutu ba Kongo kabila
HahahahaNimeona kama picha tatu na zote nimetoka kapa. Upo mpakani nn mkuu.
banakula tembo na prismus papaa!Bamutu ba Kongo kabila
Leo furahi day nipo nipo napanga kiwanja [emoji23][emoji23]Hahahaha, ndio ki simu kilizima,nilikua mtaani tu
Mie nikisikiliza wimbo wa Joe Thomas Love Scene kuna sehemu anasema 69 was a very good year mie nawaza VAT 69[emoji2][emoji2]Aisee leo nimesikia wimbo flan wa johmakin wa kitambo, hiyo kitu imetajwa humo nkakumbuka mbali sana
Hahahaha, panga kipangikeLeo furahi day nipo nipo napanga kiwanja [emoji23][emoji23]
Hahahaha, panga kipangike
Hahahaha, unanitia KIU sasa ,maana nina kikao kdg baadaeHahahaha umeshapata jibu mwili unagoma kufanya kazi [emoji38][emoji38]
Nimekutenga... hii ni kwa taarifa tuLeo furahi day nipo nipo napanga kiwanja [emoji23][emoji23]
Sijasahau. Idd ya pili nadhani maana ya kwanza nitakuwa kwenye jiji la wala chipsNakusubiri idd umesahau[emoji2][emoji2]
Kitu safi sana sema wamepandisha bei sio kama zamani.Hivi ile vat 69 bado ipo bongo?
Usicheke best. unajua kuna siku niliamka asubuhi nikajiandaa nielekee kibaruani, kisha nikagundua kuwa ni Sunday 😂 😂 😂hahahhahaa hii nimecheka jaman..hahaha...
Maisha ndio haya hayaTulage tu na kunywa jamani...!
Usicheke best. unajua kuna siku niliamka asubuhi nikajiandaa nielekee kibaruani, kisha nikagundua kuwa ni Sunday [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ilibidi nirudi kulala tena. sasa nimeuliza maan nimeona hiyo hali ina ninyemelea
Iliniuma sana siku hiyo maana nimetumia nguvu kubwa kuamka kumbe Jpili 😂 😂Mimi niliamka jioni nikajiandaa kwenda job, konyagi si ya mchezo mchezo
Hahahaha,karibu mokonzibanakula tembo na prismus papaa!
[emoji23][emoji23][emoji23] sawaSijasahau. Idd ya pili nadhani maana ya kwanza nitakuwa kwenye jiji la wala chips