Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
[emoji38][emoji38]Usicheke best. unajua kuna siku niliamka asubuhi nikajiandaa nielekee kibaruani, kisha nikagundua kuwa ni Sunday [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ilibidi nirudi kulala tena. sasa nimeuliza maan nimeona hiyo hali ina ninyemelea