Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

kidogo karibuni kilaji
20190405_223837.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekukumbuka tu nikaona vyema tukashare Neno la Mungu
Hongera kwa kuacha pombe na kunywa Grants na K Vant hahahhh Asprin buaaana
Situmii kilevi lakini nadhani kama ni kinywaji kizuri kwa afya itakuwa vinywaji asilia palm wine, pombe ya miwa ulanzi pombe ya ndizi etc no chemicals added
Acha maneno mengi hebu njoo PM tupange mkakati wa kuachana na zambi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom