Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,566
Hahahaha, ukiwa kiduka cha mangi ,niambie nije ,tuunge mkono juhudi
MTC | 101| [emoji769]
Chuma kinatoa jasho tu dadeeek hatari fire
Namtafuta katibu wangu wajumbe tunataka kukutana kamati tendaji kabla ya mkutano mkuu [emoji23][emoji23]
Tuko pamoja namaluzia kipolo hata mswaki bado kupiga
Kweli mkuu
Mkuu anza kujilipa mahari mdogomdogo.Huyu mangi hapa jirani yangu anamtafuna dada wangu wa kazi, siwezi kumuunga mkono hata kidogo [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka atakapoacha tabia yake ya kishenzi