Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Hahaa...jana nilikuwa pale na mtoto wa mmoja wa MMU ..Hahahaha, ukiwa kiduka cha mangi ,niambie nije ,tuunge mkono juhudi
MTC | 101| [emoji769]
Sawa sawa jirani me nipo ukiwahi kurudi nijulishe kama ntakua bado hapa.
Blaki Womani nikija arusha ntakutafuta mweka hazina wetu
Sex in/on the beach...Cocktails nzuri nzuri zenye mizuka yote wekeni list hapa wakuu
waiting for love
Leo maeneo nilipo Kili za kumwaga. Hivyo nitasuuzia na kili nikisha mshusha mzaramo mikonoShusha jibapa na usisahau serengetiii baridii
Mkuu acha watu watafune. Au ulitaka kutafuna wewe?Huyu mangi hapa jirani yangu anamtafuna dada wangu wa kazi, siwezi kumuunga mkono hata kidogo [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka atakapoacha tabia yake ya kishenzi
Mkuu acha watu watafune. Au ulitaka kutafuna wewe?
God save us
Piga nyagi zike caru john 2 alacu kampige biti;imibidi muozeshe ndoa ya mkeka, maana wewe ni sawa na mzazi wakeMshenzi kweli huyu mangi kuna mmoja alimuondoa akati alikuwa anakaa na mtoto vizuri, kampangia kodi ilivyoisha akamtimua
Hahahaha, vzr sana mie huko sipawezi hao watoto wa MMU ndio kabisa nawaachia nyie wakali wa town
Kiwanja kinavuta mkuu...Karibu buckets mkuu..View attachment 1030326View attachment 1030327View attachment 1030328View attachment 1030329
Sent using Jamii Forums mobile app