Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,550
- 63,061
Njooo tule vituuuuuuu(Msema kweli mpenzi wa Mungu in jiwe’s voice) sijui ata iyo Buckets inafananaje naisikiaga tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Njooo tule vituuuuuuu(Msema kweli mpenzi wa Mungu in jiwe’s voice) sijui ata iyo Buckets inafananaje naisikiaga tuu
SUASA = SUA = MoRoGoRomliopo SUASA jaman[emoji6]...pamenogView attachment 1029485View attachment 1029485
Tangu jzi nalewa nonstop mwenyekiti sijatuliaaqKuna kitu wanaiita chicken mambo yote acha kabisa
Jr[emoji769]
Non stopNilikuwa off ndogo, nilipunguza dozi... Leo ni mwendo wa dompo na nyagi... Nakomaza msuli mbishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Nikilala Bila kupiga tungi naona maluweluwe aise [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaletewa vinafuka moshiKuna kitu wanaiita chicken mambo yote acha kabisa
Jr[emoji769]
Pokea whatsap video call basiAcha kabisa miaka ile ya 2005 ilikuwa 6000 sijui sasa ni bei gani
Jr[emoji769]
A town unapendeleaga wapi kabla sijaondoka nikusachi tupige vyombo. Au wewe hupendi kampani?.
Napenda kampani sana tu w.end leo wapiA town unapendeleaga wapi kabla sijaondoka nikusachi tupige vyombo. Au wewe hupendi kampani?. View attachment 1030054
Jioni nitakua matako baa sahizi nipo kwamangi jirani na jobu.
Ya mianzini ama sakina resortJioni nitakua matako baa sahizi nipo kwamangi jirani na jobu.
Yamianzini.