Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapa panaitwa Pwani Investment Agency... Mwenyekiti ndio mmiliki na hicho ni kitoko mixer valuer na nyagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moto zaidi ya fire View attachment 1025141
IMG_20190217_210754.jpeg

Jr[emoji769]
 
Kichwa panzi nimeshaanza kuyumba mpango ni kuelekea home kula KVANT na kulala,asubuhi na mapema nina safari ya kurudi kijijini kwetu kwa Babu niwaachie Mji wenu wa Bata24/7.Nawatakia wanywaji na walevi wote usiku mwema.
 
Duh mbn mapemaaaa
Mm nko chimbo moja kama unaelekea mahakamani kinondoni
Nmehamisha mashambulizi hku

Ova
20190217_220230.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom