[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
Jr[emoji769]
Hahahaha, siamini kwanza ,simu zako mbili tu ,zinatosha
MTC | 101| [emoji769]
[emoji40][emoji40][emoji40]View attachment 1020701
Maisha bila pombe yafaa nini??nipo na demi kitaani...mchana kweupeeee[emoji28][emoji28]
AiseeeView attachment 1020701
Maisha bila pombe yafaa nini??nipo na demi kitaani...mchana kweupeeee[emoji28][emoji28]
Hahahaha, guu la bia hilo Mkuu, wakubwa wanafaidi sana
MTC | 101| [emoji769]
Kwahiyo unikute nimekaa sehemu nakula vitu alafu nikupe tu pesa?Mlevi yupo radhi akununulie pombe lkn kukupa pesa ni shida
Hahahaha
Hatimaye....
Karibuni tuchangie pato la taifaView attachment 1020833
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mkubwa nitakua mimi bwanaaaHahahaha, nilijua tu, kuwa uko vzr we mutu mukubwa sana,ile ilikua zuga tu
MTC | 101| [emoji769]
Bia za kike. samahani lakini
Hivyo vichupa vidogo viko poa. kuna siku nilijaribu nikavipenda sana siku ya pili nikaagiza wakaniletea ya kopo, zilichonifanya najua mieAisee hii bia ya safari itakua inapikwa mwanamke 65+ imeivaa vizurii mnoo...hakika wtz tunapaswa kujivunia sana na kutembea vifua mbelee
Sent using Jamii Forums mobile app