Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Yente asee sijui fasi izo? Uko juu ya stuli saa hii?
Siku imeisha hivi
IMG_20190210_020007_2.jpeg
 
Njiani from Zenji to Mzizima,nawakumbusha wanywaji na walevi wa kikristo ni karibia mida ya kuamka kwenda kanisani kutoa sadaka na kumshukuru mungu kwa uzima na afya njema, na siku zifuatazo atujaze denero kwenye account zetu hili tuendekee kuchangia kodi,Povu na matusi ya kilevilevi. ruksa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom