Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Screenshot_20190210-104436.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu, kuna jamaa angu mmoja akikosewa na dem wake kwa namna moja ama nyingine anamnywesha chupa zima sasa sikuwahi juwa ni anamkomesha au anataka amfanye nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amfanye vibaya au vizuri pengine [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hapo afadhali. Ila duh mkuu una bonge ya msuli
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji23] ila msuli mwingine wa kawaida tu [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom