mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,399
- 138,138
Nko machooo bado nmetokaa njeVyuma mkuu + siyo weekend
Kmbe Nna Kimeo saa moja na nusuuu ahhh
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nko machooo bado nmetokaa njeVyuma mkuu + siyo weekend
Nko machooo bado nmetokaa nje
Kmbe Nna Kimeo saa moja na nusuuu ahhh
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hpa lzma nitafute bia moja bdy akili ikae SawaNdio jambo la msingi kimbizana na kimeo, ndio mda wa kusaka hela, hapo mimj ambacho ningefanya naoga maji baridi, pata glass ya maziwa naamsha, ila najua nikiwa kwenye mizunguko lazima nipate hata dk 30, za kulala huwa nnapaki sehemu nzuri nawasha AC, lock milango kisha usingzi mnene
Hahahaha yanakata sana pombe pale samaki wanayatengeneza mpaka mida mibovu wanajua kazi yake na sehem nying za pombe utakuta pana popcorn
Ndy natoka tegeta nlikujaa hku one timeNdio jambo la msingi kimbizana na kimeo, ndio mda wa kusaka hela, hapo mimj ambacho ningefanya naoga maji baridi, pata glass ya maziwa naamsha, ila najua nikiwa kwenye mizunguko lazima nipate hata dk 30, za kulala huwa nnapaki sehemu nzuri nawasha AC, lock milango kisha usingzi mnene
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ehh tajiriiii yangu mwnyw mlevi kama mm
Bado tpo tunalandukaaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kvant haizeeshi inakufanya uwe beautiful na handsome at the same damn timeNa wewe kwani nimekulazimisha??? Endelea kunywa K-vant Kama manengelo mzeeke sura
Mdau wa K-vant utamjua tu, [emoji1]. Mnakunywa Kama mmelazimishwaJamani kvant haizeeshi inakufanya uwe beautiful na handsome at the same damn time
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee kvant tamu balaa kuliko naniiMdau wa K-vant utamjua tu, [emoji1]. Mnakunywa Kama mmelazimishwa
Weeee usifananishe naniliuu na mambo ya kipuuzi[emoji38][emoji38][emoji38]
Hahahaha, asee we acha tuNaona upo high!
Shunie yuko wapi? Mtoto wa Kisambaa hatari sana shehe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kumbeee Ndo maana ukzipga zinakimbilia kwenye naniliuWeeee usifananishe naniliuu na mambo ya kipuuzi[emoji38][emoji38][emoji38]
Teh.. haipo hivyo
Sikuwa ninafahamu hii kitu, ila ninvyojijua hayo ma popcorn ningeanza kuyatafuna muda wa kwenda kulala siyo nikiwa nnakunywa pombe
Kjna siku nilikua niko na mama napiga konyagi anashangaa zinashuka tuu ikabidi aniulize lengo la kunywa konyagi ni ili ulewe haraka ama ni starehe, ikabidi nimsafirishe kwa uber mapema asiendeleze ***** *****
Nikinywa pombe hazishuki chini, zinabaki kichwani
Acha pombe zinakutia hasara. Pombe ukinywa lazima zishuke downtown zikibaki juu Achana nazo fanya ishu nyingineNikinywa pombe hazishuki chini, zinabaki kichwani