Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,394
- 465,217
Hahahah mm siwezi wine zenyewe sio mpenzi nakunywa nikifosiwa na marafikiPole Sana. Mi nakunywa yoyote itakayokuwepo mbele yangu
Hahahah mm siwezi wine zenyewe sio mpenzi nakunywa nikifosiwa na marafikiPole Sana. Mi nakunywa yoyote itakayokuwepo mbele yangu
Pole Sana. Mi nakunywa yoyote itakayokuwepo mbele yangu
[emoji23][emoji23][emoji23] sio kihivyo bwana. Ni kwamba Nina choices zangu. Ila ikitokea nipo sehemu Kuna pombe na ile niliyoizoea haipo bas nakunywa iliyopo. Nadhani Sasa umenielewa.
Hahahaha, safi Sana[emoji23][emoji23][emoji23] sio kihivyo bwana. Ni kwamba Nina choices zangu. Ila ikitokea nipo sehemu Kuna pombe na ile niliyoizoea haipo bas nakunywa iliyopo. Nadhani Sasa umenielewa.
Yani hapa nina dose nawaza mpaka iishe daa.sijui chupa za Heineken nitashika lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mdau sanauu uzi nauonaga japo mi mlevi ila sijaufunguaga muda nikajua labda unakataza kunywa pombe nikawaza watakua wananipotezea muda mi na pombe kama maji na barafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mlipa kodi taifa linakutegemea kwani dose ya siku ngapi???
😂😂😂mie k vant ndo nataka kujifunza rasm mie mwenyew sizipend...tatizo kampan yangu k vant tupumanengelo umesikia?? Ha haaa kifupi sipendi beer, Bora pombe Kali ila sijazizoea
Nilisikia ukigawanya hiyo sabaa kwa mbili
man