Maybe to see you..Chautundu vpThe same.... No coming back?
Jr[emoji769]
Kweli kabisa mpaka leo hii ni cm napiga Ndio nawekewa kisado[emoji23][emoji23][emoji23] dah kitambo sijafika apo, nikiwa Atwn huwa tumapigia simu atuwekee mapema maana huwa inaisha haraka
mjomba jambazi😂karibu tena kijiweni...
Sema hili jina lako nacheka Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mjomba jambazi[emoji23]karibu tena kijiweni...
😊😊😊..linakufaa na vile ulivyo giant..hahhaa..Sema hili jina lako nacheka Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...[emoji4] karibu Konyagi[emoji4][emoji4][emoji4]..linakufaa na vile ulivyo giant..hahhaa..
😊nyagi hapana kali sana bora k vant aisee..enjoy
K vant siku hizi ni sawa na Redds[emoji4]nyagi hapana kali sana bora k vant aisee..enjoy
😂😂😂na huku mm naimix na koka na ndimu dah ww kiboko
Kweli tupu maana toka imeboreshwa kifungashio ndan mvinyo umekua togwa kumbe nawe hili umeliona,nilidhan mm tu
[emoji1787] inabidi baraza la Vileo itabidi likulaani, K vant na Coca[emoji23][emoji23][emoji23]na huku mm naimix na koka na ndimu dah ww kiboko
k vant ile ya zamani ndio pombe hii ya sasa ni sodaKweli tupu maana toka imeboreshwa kifungashio ndan mvinyo umekua togwa kumbe nawe hili umeliona,nilidhan mm tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787] inabidi baraza la Vileo itabidi likulaani, K vant na Coca
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha duh
😂😂😂aiseeKweli tupu maana toka imeboreshwa kifungashio ndan mvinyo umekua togwa kumbe nawe hili umeliona,nilidhan mm tu
Sent using Jamii Forums mobile app