Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,734
- 870,489
- Thread starter
- #12,701
BaaabaeMambo hayo, baada ya tungi zitoView attachment 1000781
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Jr[emoji769]
BaaabaeMambo hayo, baada ya tungi zitoView attachment 1000781
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Pole mkuu
K-Y , una hatarrr ww[emoji23][emoji23][emoji23] K na K-Y[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Mtandao pendwa kwa wapendwa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Mtori na ndimu nyingi kisha shushia na redbull utakuwa njema kuliko fitMmeamkaje wakuu?
Hivi mfano umeamka na hang over mida hii na ofisini unatakiwa saa mbili asubuhi, chap chap unajiweka sawa uingie ofisini ukiwa vizuri?
Natafuta uzoefu...
Ila lazima neutral itakua inarudisha mzee baba [emoji23][emoji23]Mtori na ndimu nyingi kisha shushia na redbull utakuwa njema kuliko fit
Jr[emoji769]
Naona unataka faraja nyumbani😀Leo mdogo mdogo nmerudi kwenye nyagi
Leo saa Sita nko ndani sitokesha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 1000446
😀😀
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.....mzee wa kiliMimeamka na mning'inio wa hatari yaani ingekua amri yangu au nimeajiriwa Leo nisingefanya kazi. Nazimua lakini wapiView attachment 1000907
Huu mlima ndio maana Mungu akauweka huku. Najivunia chenye jina la nyumabani Kilimanjaro p lager.Safi sana.....mzee wa kili
Naona unazidi kuupanda mlima kilimanjaro
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Gonga chupa moja ya mvinyo ulogonga jana. Ukipata ya baridi itapendeza zaidi.Ila lazima neutral itakua inarudisha mzee baba [emoji23][emoji23]
Wacha kuniringishia mi pia nimeshaanza muda.
[emoji23] hapa k vant ndogo mbili na kili zishaisha, nasubiri nimalizane na mafundi nikatafute msosi kisha niendeleze, j3 kwangu huwa ni weekendWacha kuniringishia mi pia nimeshaanza muda.View attachment 1001024karibu.
[emoji23][emoji23] kwanini mkuu. Hii k vant ya 3. Lazima K nyingine ihusike leoLazima utakuwa mchawi
Jr[emoji769]