Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Mzee tuko macho leo nimekesha siaminiKumi na mbili hyo tuko macho bdo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee tuko macho leo nimekesha siaminiKumi na mbili hyo tuko macho bdo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni sana kwa kuchangia pato la taifa kwa juhudi kubwaKumekucha wanaume chupa zote zimefunguliwa ndo tunamalizia malizia vinywajiView attachment 995848
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..Safi sanaKumekucha wanaume chupa zote zimefunguliwa ndo tunamalizia malizia vinywajiView attachment 995848
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndy Inatakiwa mdauKumekucha wanaume chupa zote zimefunguliwa ndo tunamalizia malizia vinywajiView attachment 995848
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah viceroy [emoji4]Kumekucha wanaume chupa zote zimefunguliwa ndo tunamalizia malizia vinywajiView attachment 995848
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]ulikosea mashartiJamaa mnakunywa kama mashindano mm nikikumbuka mwaka mpya pombe ilchonifanya Dah!! Mixa kulazwa hadi nikahisi figo zimefeli ngoja nipumzike wadau hadi leo sijagusa ila ntarudi na kreti moja kujipongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja mjini niko KiluvyaDuh..Safi sana
Mimi niko mitaa ya kongowe mbele ya mbagala huku sahvi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mwenyekitiAsanteni sana kwa kuchangia pato la taifa kwa juhudi kubwa
Jr[emoji769]
Rudia kunywa mkuu pombe huwezi acha kiurahisiJamaa mnakunywa kama mashindano mm nikikumbuka mwaka mpya pombe ilchonifanya Dah!! Mixa kulazwa hadi nikahisi figo zimefeli ngoja nipumzike wadau hadi leo sijagusa ila ntarudi na kreti moja kujipongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nlilala kama nusu saa niko nimeamka naingia mzigoniDuh..Safi sana
Mimi niko mitaa ya kongowe mbele ya mbagala huku sahvi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huku mvua mvua inapiga mkuuBush.... Kimvua tunakiangalia dirishani kwa hisani ya william grantsView attachment 995899
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhhhh! akili zote zimekubaliana hivyo?[emoji123][emoji123]View attachment 995468
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu inakuwa lainiiiiiii