mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,231
Mundarara ruby cabochon hazichomeki kitaalamYeah na mm orkesmet nimeenda ila naona ruby ya orkesmet(kitwai) ina quality flani hivi ambayo kama ww ni mtaalam hata hiyo ya Mozambique naona kidogo inataka kupwaya kwa hiyo ya kitwai: ya mundarara haina ubora saana ukilinganisha na kitwai na Mozambique.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila zile zoisite mablock India zna demand sna
Ila ruby best kwa tz ni ya matombo moro na mahenge ambapo migodi imekata utokaji mdg sana ruby za hko mpk cabochon unauza
Ila ya mundarara cabochon jau cabochon ni kama ya dodoma mpwapwa winza
Yaani mpaka upate gem quality
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app