Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kawaida tu Mbn Sema sinaga usingizi kbsa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee sio kawaida:alafu leo nimegundua kuacha pombe ni kazi ngumu mno!!juzi nimekata moto nlivoamka jana nikasema sintakunywa mpaka weekend ila cha ajabu tokea mchana nimekutana na kampani nikajidai napiga maji na redbull tu ila kadri tulivyokaa na jinsi wanavyopiga funda moja,moja nikajikuta na mm nimeanza kuagiza ndio mpaka kumekucha hivi .

Pombe si ndy burdan yet tukiacha tutakuw machzi tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bora we unywe ukiacha utahamia kwengine

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli asee kama mm nakaaga jtatu mpaka jmosi ndio naingia town kwenda kuwaona watoto sasa:sa kukaa bila kutia vyombo kichwani mambo hayaendi.
Kitalu b nlikuwa nakujaga
Ila tz mm sina idea nayo sana kama gemstones zingine
Pombe pia tunakunywa kutokana na kukaa maporini maana kna wakati unakuwa idol

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majanga ila naona hali inaenda ikitengamaa na wahindi washarudi rudi mjini:Mullah yupo migodi inafanya kazi ila nae alimbilia kwenye ruby kule orkesmet(kitwai) ila pia bado analiza moto sana kwenye migodi yake ya tanzanite.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko orkesmet nlifika
Ruby inashabiana na ya mtopwez msumbji
Na mundarara pia nishatimba
Ila bado move syo sana buyers wengi wako kenya wametulia

Yeah na mm orkesmet nimeenda ila naona ruby ya orkesmet(kitwai) ina quality flani hivi ambayo kama ww ni mtaalam hata hiyo ya Mozambique naona kidogo inataka kupwaya kwa hiyo ya kitwai: ya mundarara haina ubora saana ukilinganisha na kitwai na Mozambique.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom