Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

milk leo...tena kikombe cha thermos[emoji23]
1547147793927.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatuachaje

Jr[emoji769]
Niliwaachia deni la kunitafutia ajira mkuu maana nasikia deals nyingi zipo bar!

Nitatoa fungu kubwa sana la shukrani kwa ataenifanikishia kupata kazi.

Nina Degree ya Logistics Management, with 3 years professional experience katika supply chain management.

Napatikana Mwanza

Napatikana kwa namba hii 0683011003
 
Umefanya vema kuliweka wazi hili hebu tuma maombi yako hapa Kedstanzania@yahoo.com

Jr[emoji769]
 
Umefanya vema kuliweka wazi hili hebu tuma maombi yako hapa Kedstanzania@yahoo.com

Jr[emoji769]
Asante sana Mr. Mshana! Nimetuma CV yangu kwenye hio barua pepe!
Natumai Mwenyezi Mungu atanifungulia njia!

Naomba sana wakuu kwa yeyote mwenye uwezo wa kunipa kazi/connection ya kazi basi tuwasiliane zaidi!

Napatikana kwa 0683011003
Ama barua pepe: solothang23@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom