Eddy mtatina
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 174
- 142
Sometimes inabidi kazi na dawa pombe za kunywa bila story ni pombe za mawazo hazifai kabisaNasikitika kuona kilinge kimegeuzwa MMU.tupigeni monde masela mambo mengine yanaleta comments mingi zisizo na uhitaji. Kula gambe ila unywaji ulopitiliza ni hatari kwa afya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
naongeza msisitizoKwakweki kwa hizo picha za Shunie niwakumbushe tu wanaume.. Tafuteni pesa nguvu za kiume mtazikuta mbele ya safari maana huja automatically ukiwa na hela.[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
dadeki walahiii!!😀😀😀Watu mlianza na ulaini
Nilianza na banana
Nikapiga mpaka gongo, ile kitu mpaka leo nikiiiona nasisimka
nakuunga mkono mkuu...Daahh .... wapi CHAPUTA wenzangu ... ukisikia mateso bila chuki ndio haya sasa .... toto jeupeeee kama linaogea maji ya UHAI ... nafwaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaa linaendeleaSaa 4:17 nmerudi hivi vibiaa
Nmevibe tuuaa, naji vnjiaa rekod
Mw enyewe
Ngj nkimaliziee hki kibiaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sharp kwa haraka ndugu mjumbeMwenyekiti kumekucha kichwa chauma nizimue na k vant au?View attachment 980881
Sent using Jamii Forums mobile app
Laurence Masha - Acha kuendeneza pombe unapotea - JamiiForums
Lazima tumshtaki hyuuuLaurence Masha - Acha kuendeneza pombe unapotea - JamiiForums
CC : wajumbe wote kwa taarifa
Jr[emoji769]
Lazima ashughulikiwe kikamilifuLazima tumshtaki hyuuu
Boyaa hawezi kutudhalilisha walevi wanywaji
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu kuna shida mahali naonaLazima tumshtaki hyuuu
Boyaa hawezi kutudhalilisha walevi wanywaji
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nili toa cmnt yangu nkawambia asilimia kbwa starehe yao ni madem
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nili toa cmnt yangu nkawambia asilimia kbwa starehe yao ni madem
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app