Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Redds ndio iliyoniingiza kwenye ulevi jamani kipindi najifunza nikatoka hapo nikaamia Miller beer kutoka Miller nikaingia castle lite nikainywa weeeh badae ikanikataa nikiamka hangover siwezi fanya chochote ni kulala tuuuu nikashauriwa hamia Heineken hakuna hangover na kweli heineneken hakuna hangover mpaka leo beer yangu pendwa

Watu mlianza na ulaini

Nilianza na banana

Nikapiga mpaka gongo, ile kitu mpaka leo nikiiiona nasisimka
 
wasiokunywa wapite hiviiii, wasiingie humu kutoa nasaha, hawatulipii bill, wakajenge viwanda hukoo....mbafu zao.
Tunajielewa [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] [emoji41][emoji41][emoji41]



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa kwahiyo mnatufukuza ... !!?

Pombe ni hatari kwa afya yenu mjue ( nasubiri matusi ) hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajua mkuu usitukumbushe
Samahani kwa makwazo mkuu
IMG-20170712-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom