mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,231
Dah kwa style hyo ntawanyanganya pochi sitokubali nirukwe[emoji23] [emoji23]Mupe mulukeee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwa style hyo ntawanyanganya pochi sitokubali nirukwe[emoji23] [emoji23]Mupe mulukeee
Hahahhahha mnanifurahisha sanaMkuu hata kama ni mimi ninanunua heinken za kutosha zinakaa ndani tuu, hamna kutoka [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah kwa style hyo ntawanyanganya pochi sitokubali nirukwe[emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipa kodi ... Twende kazi..
View attachment 950551
Ngoja niandike proposalEbu kakope basi halafu zote uje kunipa
Hahhaha we mzee kauzu sanaNgoja niandike proposal
Hahahaha, safi sana
Ila dah macho yamekimbilia avatar tena na leo
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂nna lips kama za mrisho mpoto😂We dada mcute toa lips hiyo
.moyo umeguswaa...ni sweet au dry
Yaani nimehama mpaka nilipofikia siwezi hama tena kaheineken katamu bwana hata ulewe vipiii asubuhi unaamka vizuri unakula chochote
Usisahau kuleta nyama pori swalaHahahaha, kweli wananitisha, we nakuaminia Rafiki ,ngoja nianze kufungasha virago huku nilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahhaa umenisoma eenh mm mtoto mzuri sana
Unajua tunavyoitikia wanywaji...huu uzi ni kwa ajili yetu nakosaje kuujuaNiitikieje etiiii Mother Confessor huu uzi unaujua etiii
Daahh .... wapi CHAPUTA wenzangu ... ukisikia mateso bila chuki ndio haya sasa .... toto jeupeeee kama linaogea maji ya UHAI ... nafwaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app