Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Reeds!!! Beer yangu ya kwanza kujifunza ulevi kwa nn unakunywa reeds vile tamu

ninaipenda venye ile aroma yake
..venye inataste mie roho kwatuuu...ule utamu sasa mm dah!heinken niliwah jaribu nikawa mchachu kila sehem😌
 
ninaipenda venye ile aroma yake
..venye inataste mie roho kwatuuu...ule utamu sasa mm dah!heinken niliwah jaribu nikawa mchachu kila sehem[emoji18]
Redds ndio iliyoniingiza kwenye ulevi jamani kipindi najifunza nikatoka hapo nikaamia Miller beer kutoka Miller nikaingia castle lite nikainywa weeeh badae ikanikataa nikiamka hangover siwezi fanya chochote ni kulala tuuuu nikashauriwa hamia Heineken hakuna hangover na kweli heineneken hakuna hangover mpaka leo beer yangu pendwa
 
Safi hata serengeti lite haina hangover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo napiga wine. Chardonnay
20181229_164839.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Redds ndio iliyoniingiza kwenye ulevi jamani kipindi najifunza nikatoka hapo nikaamia Miller beer kutoka Miller nikaingia castle lite nikainywa weeeh badae ikanikataa nikiamka hangover siwezi fanya chochote ni kulala tuuuu nikashauriwa hamia Heineken hakuna hangover na kweli heineneken hakuna hangover mpaka leo beer yangu pendwa

😂😂😂shoga umehama machaka kweli kweli...mie huwa nazunguka.kwenye circle za utamu utamu tu aisee nikifika hom najidunha mji lita 1 nalala asbh naamka mzimaaa
 
Mzee baba nmepamic mekuz ila yule manager bado Nna mashka naye
Usiku Tulikutana naye ile bill waliyotaka chomeka msala walimwamishia yule dada mhudumu!
Tukambana yule Mwanaume aliyetuhudumia alafu alikuwa kona mpk jamaa akaelewa na hawakumkata yule mhudumu hela maana msala ulimwengu kia
Bar kna michezo hyo sana ukizubaaa si uliona watu mezani tulivyokuwa makini tulivyokuwa tunakokotoa kwenye maisha haitakiwi uwe mtu wa ku kubali jambo kirahisi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaona unavyoagiza kwa wingi ndivyo wanachanganya na zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]shoga umehama machaka kweli kweli...mie huwa nazunguka.kwenye circle za utamu utamu tu aisee nikifika hom najidunha mji lita 1 nalala asbh naamka mzimaaa
Yaani nimehama mpaka nilipofikia siwezi hama tena kaheineken katamu bwana hata ulewe vipiii asubuhi unaamka vizuri unakula chochote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom