Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
Beer za wapi hizo
Beer za wapi hizo
Ooh nasikiaga watu wanasema hivyoHa ha ha hapana hiyo haina ukweli, hii safari hata hivyo ni kwa sababu ya joto tuu konyagi ndio kinywaji changu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia
Ha ha kama uko mitaa ya kina babu wa kitaa, msalimie mshkaji wangu mmoja anaita chris abutto, mwambie obbote anamsalimia anakaa hapo kwa kina babu maeneo yangu sana ya kutulia huko kuingia studio mara moja moja kabla producer abba hajahamaNko uswaziii mitaa ya kina babu na kaka voda ,napiga bia kna mhuni mmja sjui kafumania wapi hela ndy kanitia hku
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
nakazia na mmNakazia
Itabidi nifanye utafiti aisee, mida yako ya kushusha heinken bado?Ooh nasikiaga watu wanasema hivyo
Mzee baba nmepamic mekuz ila yule manager bado Nna mashka naye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akwendreeee uko kwani sisi tunaokunywa hatujuinakazia na mm
Panda juu uko nimeanza mchana leoItabidi nifanye utafiti aisee, mida yako ya kushusha heinken bado?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba nmepamic mekuz ila yule manager bado Nna mashka naye
Usiku Tulikutana naye ile bill waliyotaka chomeka msala walimwamishia yule dada mhudumu!
Tukambana yule Mwanaume aliyetuhudumia alafu alikuwa kona mpk jamaa akaelewa na hawakumkata yule mhudumu hela maana msala ulimwengu kia
Bar kna michezo hyo sana ukizubaaa si uliona watu mezani tulivyokuwa makini tulivyokuwa tunakokotoa kwenye maisha haitakiwi uwe mtu wa ku kubali jambo kirahisi
Ova
ni kweli katibu, na mimi nilisahau kulipa ile bia yangu moja ila nita wapelekea sitaki laana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akwendreeee uko kwani sisi tunaokunywa hatujui
Soma hiyoooooooo
Na leo nina stress mm yaani mtu aniache tu ndio mana nimeanza kunywa mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nashangaa anatuletea stress hapa
Soma hiyoooooooo
Ngapi hukoooooEngineer soma hyoo
😂😂😂😂😂😂😂😂....Ngapi hukooooo