Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wadau karibuni sana. Tunapambana na hali zetu nipo zangu mkoani huku maeneo ya kusini mwa Tanzania naitazama bahari huku nikipata hiki kinywaji. Tatizo bar za huku mapema tu wameshafunga.
20181215_202745.jpg
 
Wadau karibuni sana. Tunapambana na hali zetu nipo zangu mkoani huku maeneo ya kusini mwa Tanzania naitazama bahari huku nikipata hiki kinywaji. Tatizo bar za huku mapema tu wameshafunga.View attachment 969176
huku Wanaambiana Asalam aleykum bar...[emoji23] 2010 nilikuwa namtumbo. pale songea mjini kuna bar moja totoz zimejaza hatari
 
sinywi kitu nna hangover toka juzi..kuna bishost kaniita kizembe fika pale nakuta mambo hv[emoji481][emoji482][emoji485][emoji483][emoji91][emoji91][emoji91] mbaya zaid sikua nimekula siku nzima

hahaa yaan hpa ni zaid ya mgonjwa[emoji26][emoji26][emoji26] ila moyo unanishawishi unaniambia manengelo toka ukanywe redds 3 urudi upumzike[emoji4][emoji4]naikataa haitak inanijia tu ![emoji4]!Niombee (in magu voice)
Kazimue
 
huku Wanaambiana Asalam aleykum bar...[emoji23] 2010 nilikuwa namtumbo. pale songea mjini kuna bar moja totoz zimejaza hatari
Noma sana mimi nipo maeneo ya Lindi nawaangalia wazee wa korosho wanavyopata mbili tatu huku nikijumuika nao. Hakika tuna mengi ya kusimulia kama walevi. Unapata marafiki mapema tu nakujua jamii yao haraka tu kwa sababu pombe inatoa ushirikiano uliotukuka.
 
Chukua take away
Yah ndio ninachofikiria kufanya. Siwezi kuvumilia hii hali nimezoea mida mibovu sasa mambo ya kufukuzana bar ndio nimeyakuta huku. Ukiambiwa tembea uone kweli utaona mengi. Sijawahi kuona mtu anafukuzwa bar ila nimeikuta huku kusini.
 
Loh best dakika chache hujaonekana inquiries kama zote... Kidogo ianze kampeni ya #bring back our Blaki Womani... Sangoma wako kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaah eti Sangoma [emoji23][emoji23] nimecheka sana

Nipo aise kila nilikuwa nikikumbuka mada yetu pendwa najisikia kuwamiss nipo hapa sasa hadi mwaka ukipinduka Mungu atujalie hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom