Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo sina hela ya ugimbi nashindia ukwaju tu
1544641330592.jpeg
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
hapa ndio nashindwaga kushangaa kabisa. yaani wao wakiongezewa shilingi 100 kwenye unga au sukari utasikia kelele hadi redioni ila kwa sisi wala hatuongei
 
Hata mimi dogo langu alikujaga dar kipindi flani alikuwaga anashangaa yaani kila nkirudi chakari ila kumi na mbili nshang'oa nipo kazini, nilikuwa nampa kila atakacho under condition kuwa maisha aliyoyakuta huku yaishie huku ni yangu na hayamhusu mtu

[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom