harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Katibu hcho kaschina mbona kamenitoa mate ngoja niingie mahali nijimilikishe na mm
Katibu hcho kaschina mbona kamenitoa mate ngoja niingie mahali nijimilikishe na mm
Nshakakata [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu hcho kaschina mbona kamenitoa mate ngoja niingie mahali nijimilikishe na mm
Sema kana tabia ya kuchokoza kichwa vibaya[emoji1787]Nshakakata [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Mm nshaizoea.....Sema kana tabia ya kuchokoza kichwa vibaya[emoji1787]
Bora ningechkua size ya kati nmepiga vidogo viwili imenitia loss tuSema kana tabia ya kuchokoza kichwa vibaya[emoji1787]
Amazon moja hiyo Kibahakwa 'masanja' dukani......huku hakuna mangi..[emoji23]View attachment 964387
Brandy bora kabisa hii....na hali ya hewa kibaha inaruhusu vyema vitu hiviAmazon moja hiyo Kibaha View attachment 964541
Nikiamua kunywa nyag siwez nunua kile kidogo ni kuumiza kichwa tu bora ukamate size ya Kati au big size ulipuke tuBora ningechkua size ya kati nmepiga vidogo viwili imenitia loss tu
Ova
Ah nlibugi kuxhkua kdg maana nimekata viwili muda uleNikiamua kunywa nyag siwez nunua kile kidogo ni kuumiza kichwa tu bora ukamate size ya Kati au big size ulipuke tu
[emoji1787]na mm nakazana nayo mkuuAh nlibugi kuxhkua kdg maana nimekata viwili muda ule
Sahv ni safari tu nalegeza
Ova
[emoji3]... hii huwa naimix na wine...kuna wine moja inaitwa imagi ya tdl, shughuli yake si ya kitoto.Leo lazima nikasimamie ukucha[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]