Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mangi anafanya mamboz .....tnalisongesha

Ova
Hivi....

Ova
20181205_213632.jpg
 
Nilitaka kukasirika kumbe uliuliza usiku.
Nilijua ni muda huu nikiwa kwa mangi. Mi naendeleza katibu karibu sana.View attachment 957756
Dah jana na leo michongo haiendi
Jana umeme umenikoaesha hela leo tena nlitakiwa kwenda nunua kitu kko ntume mkoani nipige hela maduka yamefungwa
Yaani ujinga mtupu aise
Ahhh nko sehemu nyuma kwa mangi nataka jiiba naona kuna mama naye nmemkuta anazimua naye ngja nijumuike naye

Ova
20181206_090518.jpg
 
View attachment 957758
Pole sana tafuta plan b usije kosa mshiko. Hakuna kitu kibaya kama kutumia akiba inauma sana. Mi naendeleza tu mambo yanaenda.
15440784568031016921216.jpg
 
daaah aisee leo hangover imegoma kuniachia, sijui tu nianze kulipa kodi mapema ili kichwa nikae sawa
 
Dah jana na leo michongo haiendi
Jana umeme umenikoaesha hela leo tena nlitakiwa kwenda nunua kitu kko ntume mkoani nipige hela maduka yamefungwa
Yaani ujinga mtupu aise
Ahhh nko sehemu nyuma kwa mangi nataka jiiba naona kuna mama naye nmemkuta anazimua naye ngja nijumuike naye

Ova
View attachment 957758
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848]katibu huyu mama mbona hana sura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom