Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,542
- 55,060
Wazee wa munde mpooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji23][emoji3] Dah! Nimepatikana
Anajali afya yake na wengine safi mjumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuna zoom balaaa ila usijali umeonesha uko makini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji23]View attachment 945890
UmeshalianzishaHahahaha, Rafiki niko Sehemu namsubiri MTU tuanze ugimbi
Sana .......Anajali afya yake na wengine safi mjumbe
Nimehamia kwenye kucheuaSana .......
Dah nyagi za leo si mchzo
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheuaa beuaaaNimehamia kwenye kucheua View attachment 945948
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheuaa beuaaa
Ova
Arusha navutika naona [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwekahazina hvi mango tree bar bado ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji41][emoji41][emoji41] vutika tuuuArusha navutika naona [emoji23] [emoji23]
Ova
Hizo rough rider hapo naona kuna mtu ameshalizwa..Leo Kinyumbani Zaidi, Hali Ya Hewa Inaruhusu View attachment 945735
Hahahaha, ana subiriwa kumalzwaHizo rough rider hapo naona kuna mtu ameshalizwa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usije ukakuta hamlipi tena kodi wadau. Mi naendelea kama hivi.View attachment 945978
Nimekoma! Siku mkiniona nabwia tena nyagi na eagle nitimeni[emoji30][emoji30][emoji30].... Naingia mochwari nite shift naona maiti zote kama zimefufuka[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]View attachment 946003View attachment 946004