Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Table Winner.......
Screenshot_20181124-222839.jpg
 
Hahahaha, nilijua hatari kwa afya yangu pia
Wewe vuta tu kwako hakuna hatari maana nasikia mapafu yako ni ya chuma cha mjerumani[emoji23][emoji23][emoji23]

Asubuhi nimekuja ofisini kwako sijakukuta, hapa nilipo sina amani kila nikikumbuka wito wa ofini kwako[emoji1751]
 
Hahahaha, Leo week end njoo j3,humu ni kulewa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom