mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,414
- 138,173
Vp ulituombeaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimetoka church. Katibu utasababisha makoo ya wengine kupasuka kwa kiu
Ova
Vp ulituombeaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimetoka church. Katibu utasababisha makoo ya wengine kupasuka kwa kiu
Huyo ni balaa [emoji41][emoji41]Mr over we level nyingine yaani umelala masaa mawili tu nakuamka kuendelea na monde [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Katibuuu wakupatie supu ya kuku kwanza [emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Kabisa aiseeeHuyo ni balaa [emoji41][emoji41]
Karibu kwenye chimbo leo
Oooh sawa vzr SanaChuga. Nyuma ya Arusha Airport mikahawani. [emoji23][emoji23]
Hilo chimbo ndio lenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungenishtua
Poa poaNarudi jumanne ! Nje ya mji.
Siri ya pombe ni kunywa maji mengi wakati wa kulala na kuamka,supu badayeeeKatibuuu wakupatie supu ya kuku kwanza [emoji16][emoji16]
We hujaenda unataka uombewe umekua raisi?. Mi niliwakumbukeni.Vp ulituombeaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hahahahahah a hahahahaWe ujaenda unataka uombewe umekua raisi?.
View attachment 945612
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siri ya pombe ni kunywa maji mengi wakati wa kulala na kuamka,supu badayeee
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweleze huyo [emoji16][emoji16][emoji16]We hujaenda unataka uombewe umekua raisi?. Mi niliwakumbukeni.
View attachment 945612
Jumapili ijayo nakupitia [emoji41][emoji41]Hahahahahah a hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Slope mpk kuombewaaa tnataaka
Ova
Nimesha mwambia nimemkumbuka ila asizooe awe anajiombea mwenyewe. Sio amuige raisi.Mweleze huyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jumapili ijayo nakupitia [emoji41][emoji41]
[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimemwambia nampitia kwa mangi jumapili tunaenda ibada ya kwanza saa 12. AlfajiriNimesha mwambia nimemkumbuka ila asizooe awe anajiombea mwenyewe. Sio amuige raisi.
Muda unatoka kwa Mangi tunaunganisha church[emoji16][emoji16][emoji16]Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana mbn
Ova