Kuna siku nimezifakamia balimi bila kula... Aiseee niliamka usiku wa manane kutafuta msosi maana nilihisi kudediHahahaha.. Last year nilijaribu balimi mixer kisungura😂 sitakaa nirudie ule ujinga😁
Hiki kiwanja nitakuja tena..kipo road tu, kuna manzi nilimla makambako nikashangaa kesho yake namkuta apo tukabaki tunashangaana
Hakuna manHivi sabasaba( Dar) hakuna maonyesho ya pombe
Sema kuna baadhi ya watu wameleta bia. Oya upo 7-7?Hivi sabasaba( Dar) hakuna maonyesho ya pombe
Kuna banda la windok .. bia zipo za kutoshaHakuna man
Inasemwa kvanga inafuta sana kumbukumbu ukiipiga kupita kiasiii Kuna mwamba alikua ananisimulia