Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ukiwa na pesa kila siku ni weekend
IMG-20231023-WA0014.jpg
 
Kwa anayejua anipe elimu ya pombe Kali...kwa mfano..
WHISKEY:,inaanzia volume alcohol ngapi,
GIN:inaanzia ngapi mpaka ngapi
BRAND: inaanzia V ngapi mpaka ngapi...
Na nyinginezo.
 
Chimbo gani nzuri la kunywa na kulewa Arusha?
Pillars.. vibe la pesa yote.. ukifanya mzaha unamaliza hela uliyoenda nayo.

Blue stone… shangwee

The Hub.. ila ukae ndani, nje raia mob

Mopao

Orlando.. pako cool

The Don.. napenda private

Gran Melia.. very relaxed place,, ila ulewe kwa Mangi, pale ukashtue kidogo tu. 😂💥

Aces Lounge.. watoto wanacheza amapiano huko ni hatari.. napendelea ule upande wa private.

The Lions Garden… tatizo mbalii kidogo

Tembo club… greenish na cool place.. hamna heka heka

Amber bar & restaurant…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom