marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 988
Yani hii mada imepoa sana au ndio January?
Hapo Fanya mixer na nyagiMbege nzitolView attachment 2091817
Ipo vizuri hiyo brandyViceroy.... Nakamiss haki kadude
Ilipofika nusu nilivua na shati kabisa...maana ni moto...Naona hadi umevua viatu mkuu
Yaani mie hapo ningetupia kidogo k vant, au any brandyHapo Fanya mixer na nyagi
Mkuu Mbona Linaimbwa Sana Kwenye Bolingo Za Kikongomani, Hata Kofi aliimbaMmh hili ni geni kwangu