Kwenye msafara wa mamba kenge hakosekani kaka. Hili chama halifi tutakabana nao mbele kwa mbeleKuna member leo ameanzisha uzi anataka kuasi kambi huko.... Jamani tusipokuwa makini na haya maisha ya Tz chama chetu cha wanywaji kitaenda kufa kifo cha mende.
Hii bidhaa tam sana lkn mm nikikalamba muhimu nishushie na castle lite!
Hii kitu konki sanaInashuka mdogo mdogoView attachment 2065994
New Code
Jamani khali zenu?
naombeni connection ya Ajira wajomba, nina mwaka wa 5 Mtaani.
nina Degree ya Logistics and Transport Management.
Napatikana Mwanza.
Asanteni
Jitahid kuhudhuria vikao tu utapata connection ila ukijiendekeza na hao akina Mirinda basi ongeza mingine mi 5.New Code
Jamani khali zenu?
naombeni connection ya Ajira wajomba, nina mwaka wa 5 Mtaani.
nina Degree ya Logistics and Transport Management.
Napatikana Mwanza.
Asanteni
Wapi hapa[emoji482]View attachment 2072408
High spiritWapi hapa
Kitu cha tembo. Imepotelea wapi hii?View attachment 2066236
Reminiscing
Hii ni bia safi sanaaaaa, kwani ni zao la Tanzania??Kitu cha tembo. Imepotelea wapi hii?