Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,760
- 870,544
- Thread starter
- #25,741
Survival of the fittestKazi tunayoView attachment 2082479
Survival of the fittestKazi tunayoView attachment 2082479
Haka kakitu katam sana
Hii kitu ilinishinda aisee
Ipo mkuu sema kwa baadhi ya maeneo. Walizubaa sana mwishowe wamefunikwa!Kitu cha tembo. Imepotelea wapi hii?
Yeah ni TBL hao.Hii ni bia safi sanaaaaa, kwani ni zao la Tanzania??
Itabidi niisake. Castle lite/Serengeti lite zimeifunika sana.Ipo mkuu sema kwa baadhi ya maeneo. Walizubaa sana mwishowe wamefunikwa!
Kabisa! Ila kwangu si castle lite wala Serengeti lite anayeingia kwa tembo.Itabidi niisake. Castle lite/Serengeti lite zimeifunika sana.
Sasa kwann wamesitisha uzalishajiYeah ni TBL hao.
Moja ya bia safi sana tulizowahi kuwa nazo.
Naona hadi umevua viatu mkuu
Kuzidiwa ujanja sokoni mkuu walizubaa sanaSasa kwann wamesitisha uzalishaji