Unatoa lock ama nini mkuu,
Safii mzee wa kazi.mi nimepiga vant ndogo..now napata supu
[emoji1534] kazi na dawaSafii mzee wa kazi.mi nimepiga vant ndogo..now napata supu
Hahahaha sawa mkuuAaah Mkuu hii kitu sina hamu nayo[emoji23][emoji23][emoji23],narudi kwenye bia rasmi.Vitu vikali nawaachia nyie
Hasa pombe kali sigara inakua km mshkaki!Aisee hii kunywa na kuvuta sigala ni balaaa nafikri sigala zinapanda zaidi ukiwa unaenda na pombe
Hasa pombe kali sigara inakua km mshkaki!
Hasa pombe kali sigara inakua km mshkaki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunywa k vant ndogo bia 1 na sigala aisee unaweza usifike unakoenda
Wachina wameziharibu sana
Duuu hii ni baa au baha
Duh mkuu kwenye hiyo picha hilo ni dudu lako?😳Nikatoe lock aisee hata kisichana kinatosha