Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Kuchanganya pombe kali na energy kunaweza pelekea mvurugiko wa tumbo sambamba na kuhara maana nna siku ya tatu siingii kazn wala sifanyi chochote sababu ya tumbo
Mambo ni yechu yechu sio mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]