Dah yaaani mwisho wa mwezi lakini hatuna kitu na serikali ipo kimya haisemi chochote
Mama tumepigwa dah yaaani unakamuliwa mpaka mbupu inarudi ndani kwa uoga dahYaani Mama hana huruma kabisa
ImekuwajeNaacha valuu rasmi,mana nimekosa ushauri mzuri
Tatizo ni madelu bimkubwa yuko poa sanaMama tumepigwa dah yaaani unakamuliwa mpaka mbupu inarudi ndani kwa uoga dah
Inakausha mno koo,usiku na asubuhi lazma uanze kukwaruza...sijui nin shida
Acha itakuua.Inakausha mno koo,usiku na asubuhi lazma uanze kukwaruza...sijui nin shida
Nikifanya yote hayo nikinywa valuu koo halitakauka tena?Acha itakuua.
Kunywa maji ya kutosha kula vizuri, fanya mazoezi, s/wali sana na upumzishe mwili wako.
Usisahau kutubu maovu yako.
Ninywe kabla au baada ya valuuUwe unakunywa maji mengi usiku na juice pia
Nakushauri achana na pombe, MWILI NA KOO LAKO HAIVITAKI... Utajutia mbeleni.Nikifanya yote hayo nikinywa valuu koo halitakauka tena?
Mungu Mwenyezi Akutie nguvu na kukufanyia wepesi UACHE KABISA KUNYWA POMBE.Dah!
Ndugu waandishi wa habari
[emoji2763][emoji2763][emoji2763]
[emoji3449][emoji3449][emoji3449]
Nimewaita hapa kutangaza kuwa.
[emoji485][emoji485][emoji485]
Kuanzia leo tar 28 Aug, nimeanza mapumziko ya kutokunywa bia.
Yaani nikinywa kvant ndumwa the next day tena ho, a kali kweli. Hivyo nimeamua kuachaMimi nimekunywa Konyagi over 20 years ...kuna balanced taste ya OG tangu unaifungua..naifahamu.. Japo sometimes nimepigwa pia
Kingine ni ulevi wake! Kila mtu ana kiwango chake cha ulevi ila ukipiga feki stimu hazichelewi
Kingine ni hangover ya kufa mtu the next day
Kingine ni kuumwa mwili, na viungo
Kuna feki nyingi sana mtaani ujue..japo hata mimi na Kvant hatupatani kabisa..inaumiza mifupa sana..nadhani kuna shida kwenye chemistry yakeYaani nikinywa kvant ndumwa the next day tena ho, a kali kweli. Hivyo nimeamua kuacha
Ni wap imeandikwa pombe ni dhambi? Ukinionesha kwenye biblia naachaNakushauri achana na pombe, MWILI NA KOO LAKO HAIVITAKI... Utajutia mbeleni.
Usije ukaona baba sadiki anapiga sana na yuko stable, na wewe baba swalehe ukaamua kujaribu... ITAKUUA KABLA YA WAKATI, Itakuletea MARADHI, ITAKUTIA UMASIKINI, ITAKUPA MARAFIKI (WA HOVYO, Japo wazuri utapata pia), MWISHO WA SIKU ITAKUINGIZA KATIKA MAJUTO MAKUBWA NA GHARAMA ZISIZO SABABU.
SIO KILA MTU ANAPASWA KUTUMIA VILEVI... Hasa hivyo vikali.
Kumbuka, TOBA na KUJENGA MAHUSIANO SAFI NA BORA KWA MUNGU WAKO.
Ubarikiwe
Mbona umekuwa mkali kama mbogo?Ni wap imeandikwa pombe ni dhambi? Ukinionesha kwenye biblia naacha