Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,298
👏👏👏Mzigo wangu huo sema saiv haunutaki tenaView attachment 1833952
Before Dawn
👏👏👏Mzigo wangu huo sema saiv haunutaki tenaView attachment 1833952
Before Dawn
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji736][emoji817][emoji1548]wapi hii
Itaanza keshokutwa baada ya SIMBA kushindaEti wazee wa gambe, mmeshushiwa bei?
Spirit zimepanda bana ila 🍺 bado sijapata uhakikaEti wazee wa gambe, mmeshushiwa bei?
Duh!!! Sa original tutazijuaje?Aisee hiyo ni feki na ziko nyingi sana mtaani..na licha ya kukausha koo zinaumiza kichwa sana
Hii kitu nilipiga moja na nusu juzi kati nilikuwa na jamaa yangu. Ni hatari fayaaa (sauti ya pierre)View attachment 1832705
Kesho ukiona kimya ujue nimeisha
Mkuu,bei gani hili li kitu ? Nasikia ni litamu sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]View attachment 1828106
Duh.kweli imechangamka sana.ila nasikia wanaisifia mmoBei imechangamka sana mkuh unaweza kuambiwa chupa $100 zile ndogo ni nikama 30k