kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,658
[emoji16]Wadau kwanini mimi nikilewa nakua conscious kweli yan natoa madini ya kutosha ila nikiwa normal nina aibu na kingine nikiutwika sana naanza kulia
[emoji16]Wadau kwanini mimi nikilewa nakua conscious kweli yan natoa madini ya kutosha ila nikiwa normal nina aibu na kingine nikiutwika sana naanza kulia
Vinywaji vyako vya beiView attachment 1832705
Kesho ukiona kimya ujue nimeisha
mmhVinywaji vyako vya bei
Navionaga kwenye vyombo ya habari tena vya kimataifa
hahahaaaa siyo bei 25,000 na huwezi kunywa peke yako ni sawa na ununue kreti ya castle liteNavionaga kwenye vyombo ya habari tena vya kimataifa
25000 hapo nyagi kubwa na stone tangawizi mbili mdogo mdogo inaisha na chenji inabakihahahaaaa siyo bei 25,000 na huwezi kunywa peke yako ni sawa na ununue kreti ya castle lite
Mkuu hivi hizi doublekick, rivella, kitoko,farujon wanatengeneza kwa kutumia nn au ndo wanaimprort gongo (Extra neutral alcohol) toka nje wanakujamalizia hapa production
Hilo ndio jibu lake mkuu na wengine wanachakachua na hii gongo yetu OGMkuu hivi hizi doublekick, rivella, kitoko,farujon wanatengeneza kwa kutumia nn au ndo wanaimprort gongo (Extra neutral alcohol) toka nje wanakujamalizia hapa production
Mimi bado aiseeKuna mdau humu ameshajaribu hizi...unawez tumia kama kichanganyio cha K-vant...but hakikisha walet imekaa mbali maana unaweza sinzia hapo ulipokaa
View attachment 1838351
Jaribu hiyo kuchanganyia badala ya soda..
Asee wasije wakawa wanachakachua hata huko wanakotoa, nilishapiga moja ilikua na ladha na harufu mbaya kweli.. ngoja nikomae na hizi za tdl zetu tuuHilo ndio jibu lake mkuu na wengine wanachakachua na hii gongo yetu OG
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalog off kwa muda[emoji24][emoji24][emoji24]Najilipua hapa karibuni. Mkuu Mshana Jr heb kagua hiyo valuu kama ni OGView attachment 1839019
Acha uoga mzee mm najilipua sio napenda nataka niwake nisahau tokeoNalog off kwa muda[emoji24][emoji24][emoji24]