Niliamua kuanzia kwangu kwanzaDah...wapi hii
Pole mdau..we pray for youNchi za watu, tangu hii mambo ya Corona imeanza nimefungiwa huku. Miss you Tanzania, my beautiful country.View attachment 1568264
Nitarudi Mkuu, Tanzania patamu sana huwa tunapadharau, ila ni one of the best place in the worldPole mdau..we pray for you
Mwenyekiti karibu w.end
Halafu ikiwezekana DDOs wa humu tukutane siku Moja Moja
Hivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Iko poa sana hii🍺Nchi za watu, tangu hii mambo ya Corona imeanza nimefungiwa huku. Miss you Tanzania, my beautiful country.View attachment 1568264
[emoji1635][emoji39][emoji848][emoji1787][emoji1787]View attachment 1571852