Ila mwana vant ina madhara na via vya uzazi ujueVant fire in a dark room hvi kumbe ni mchanaView attachment 1551996
Sema kwel bro mshana...? Mi ni mpenzi wa valeur ila hii huwa napiga mara moja mojaIla mwana vant ina madhara na via vya uzazi ujue
Sasa kaka ntafanya vivyoTrust me afadhali valuer na konyagi kuliko hiyo
Hapo pagum kaka wengne tunaogelea kabsaUwe na kiasi lakini
Itakuwa vizuri kama tutakuwa tunapeana side effects za haya mambo yetu..Ila mwana vant ina madhara na via vya uzazi ujue
Itakuwa vizuri kama tutakuwa tunapeana side effects za haya mambo yetu.
Thanks Mshana Jr kwa taadhali hii.
1Timotheo 5:23 *Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara*Miaka mitano iliyopita nilikuwa nje ya nchi kule kuna washikaji wanajua kipi uchanganye na nini kabla au baada ya kinyaji unywe nini ili wewe mtumiaji uwe salama kiafya.. walinipa shule hii ila nimesahau somo
mkuu tafuta na ule muujiza wa kwanza wa yesu kule kanaMithali 31:6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
Mithali 31:7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Jr[emoji769]