kanuga
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 743
- 1,309
Ahahahahahaha
Siku nikiacha pombe kabisa nitakuwa mchawi kamili
Siku nikiacha pombe kabisa nitakuwa mchawi kamili
Tumia wineWadau, mi pombe zinanitesa Kila nikinywa. Natumia pombe Kali via siziwezi kabisa. Nadhamiria kuacha tu maana nimejaribu kubadili vinywaji mbalimbali lakini inashindikana. Eehh Mungu Nitie Nguvu niweze kukaza. Nina wiki ya pili Sasa.
Naomba umloge jiwe!Siku nikiacha pombe kabisa nitakuwa mchawi kamili
Wadau, mi pombe zinanitesa Kila nikinywa. Natumia pombe Kali via siziwezi kabisa. Nadhamiria kuacha tu maana nimejaribu kubadili vinywaji mbalimbali lakini inashindikana. Eehh Mungu Nitie Nguvu niweze kukaza. Nina wiki ya pili Sasa.
Tumia wine
mshana hakuna raha kama kunywa bear huku umekumbatia mdada mrembo
Busy na campaign muzee!Wakuu Wakuu Mpo kimyaa
Hii innahitaji mwaliko na minyamanyamaView attachment 1600904
Dsm mvua asee.
Mdogo mdogoWadauuu ....tuliamsheni dudeeee.....[emoji3090][emoji3090][emoji848][emoji848]