Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Maji ya chai hapa,aliyekaribu wadau
1584106379544.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pombe (sema nimesahau jina na chupa nishaipasua)imeandikwa maandishi ya rusia yaani hiyo unamimina kwenye glass kama 3cc. Alafu wakati huo unakuwa tayari una nyama mbichi kama robo kilo au hivi unakata kisteck kidogo unatoboa na tuthpick unakitobolea kwenye hiyo glass yenye pombe hapo hapo hiyo nyama inaiva na tayari kabisa chumvi imo wee unakula tuu yaani ukila finyango 5 za nyama weee kidume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom