Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,694
- 870,413
- Thread starter
- #21,581
Dah... [emoji39][emoji39][emoji39]
Noma sana View attachment 1264076
Noma sana View attachment 1264076
Jana nilimix yokozuna na milk stout na konyagi na balimi.. [emoji125][emoji125]hapa natamani kichwa nikitumbukize kwenye fliza
Dahh... Picha tamu hii balaa... Em watumie TBL... ikae Kwa mabango.Nawasalimu View attachment 1259620
Kabisa kabisa......Nyie wanywa pombe nna swali ivi kwanini mnatabia ya uchoyo Wa ela....ila kumnunulia mtu pombe ni wepesi sana .ila kumcash mtu hamuwezi kwanini????
Ha ha ha haaa......Jana nilimix yokozuna na milk stout na konyagi na balimi.. [emoji125][emoji125]hapa natamani kichwa nikitumbukize kwenye fliza
Karibu mdogo wanguNawasalimia wananzengo 🍻🍻🍾🍷
Dogo 😀😀Karibu mdogo wangu
Upo?Dogo 😀😀
Nipo...Shikamoo kubwa 😛Upo?
Nimekumiss dogolasi😄
Mar-habaaa dogo..Nipo...Shikamoo kubwa 😛
😂😂😂 we jimwambafay tu...uwanja wako sahiiMar-habaaa dogo..
Kukiwa hamna watu unakuwa na adabu kumbe😆
😂😂😂😂😂😂 we jimwambafay tu...uwanja wako sahii
Mpo vizuri....
Hii wapi hii
Hii wapi hii
Ilikuwa ArushaMpo vizuri....
wp hapa!?