Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji4]
Screenshot_20191114-170256~2.jpeg
 
Kutapika damu ni dalili za Maini kulegeaa,,achana na pombe kabisaa,,okoka mrudie MOLA wakoo,,sisi ndugu zako tutaendelea kukuwakilisha
Jamani mimi nina tatizo la kutapika sana asubuhi baada ya kunywa vodka ama gin ama brandy yoyote usiku. Yani nikiamka asubuhi natapika hadi damu wakati mwingine, mwanzoni sikuwa na hili tatizo, yaani hata nikichanganya na bia bado naumwa yani kuna siku nashindwa hata kuamka. Kuna mtu ameshawahi kutana na hii kitu? Tunaishindaje?
 
Hii mada idumu. Ndiyo imenirudisha hom. Kidumu hiki chama.

Uwe ccm,cdm,act nccr,chaima,udpadp n.k hapa tupo pamoja.

Pascal yeye huita john mtembezi ...hahaha achana na mzee meko.

Achana na siasa uchwara za chama kongwe,
Achana na utumbuzi wa meko,sgr,stiglaz gojii flyova sie huku chaman ni kama hatuchangii,ile ndiyo namba moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji898][emoji485][emoji483]
Hii mada idumu. Ndiyo imenirudisha hom. Kidumu hiki chama.

Uwe ccm,cdm,act nccr,chaima,udpadp n.k hapa tupo pamoja.

Pascal yeye huita john mtembezi ...hahaha achana na mzee meko.

Achana na siasa uchwara za chama kongwe,
Achana na utumbuzi wa meko,sgr,stiglaz gojii flyova sie huku chaman ni kama hatuchangii,ile ndiyo namba moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom