Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

A Lady was conducting her anti drinking campaign outside a bar. A man came out of the Bar exuding alcohol fumes.
The Lady said - "Tell me!!! If you arrive at the Gates of Heaven with your breath smelling of liquor... Do you think the Lord will let you in ???"
"My good woman" passionately holding her hand, said the man, "When I go to Heaven I expect to leave my breath behind."

*Moral*.....
Drinkers are practical people.
Kindly Respect them!!

#- Saint Vodka
 
Kama kawaida ndani ya kusini bado tunapambana. Hii ni sea view hotel lindi nipo hapa counter nakula vitu vyangu taratibu nikapumzike. Acha tulipe kodi zao hakuna namna.
20190629_230843.jpg
20190629_230904.jpg
 
Pombe ya nyumbani ina raha yake wakuu tena ukiwa single, ukimaliza unatambaa tu mpaka room...View attachment 1145865View attachment 1145864
Raha ya pombe ya nyumbani mkoo wawili tu watoto wako boording school umwekea lichupa la chelse dry gin unapiga vitu huku mama mjengo anapita taratibu na mtandao mwepesi huku msambwanda huo baba Naniii nikuletee supu ya sato sauti nyororoooo lazima umuone billgat fala
 
Wapenda amani wenzangu ninataka kumkaribisha wife home kutoka safari anakunywa vostro wine..nataka nimchanganyie na fresh juisi....ni ipi itanoga zaidi?nataka ladha moromoroo itakayoamsha vilivyolala
 
Kwa utaratibu wa nchi yetu,Mtawala ajaye atakuwa ni Muislamu tena wa swala tano! Bar zote na Guest house zitageuzwa kuwa nyumba za Ibada, na kwa mwezi mtukufu wa ramadhani uvaaji wa vimini na uvutaji wa sigara hadharani pia itakuwa ni marufuku!
 
Raha ya pombe ya nyumbani mkoo wawili tu watoto wako boording school umwekea lichupa la chelse dry gin unapiga vitu huku mama mjengo anapita taratibu na mtandao mwepesi huku msambwanda huo baba Naniii nikuletee supu ya sato sauti nyororoooo lazima umuone billgat fala
Hahahahaha
 
Kwa utaratibu wa nchi yetu,Mtawala ajaye atakuwa ni Muislamu tena wa swala tano! Bar zote na Guest house zitageuzwa kuwa nyumba za Ibada, na kwa mwezi mtukufu wa ramadhani uvaaji wa vimini na uvutaji wa sigara hadharani pia itakuwa ni marufuku!
wtf
 
Back
Top Bottom