Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wazoefu wa magari madogo yanayotumia Continuously Variable Transmission ( CVT)

Ninaomba ushauri kuhusu faida za CVT na je yana hasara gani pia? Hapa Tz mafundi na vipuli vinapatikana wapi? Nk
 
Wazoefu wa magari madogo yanayotumia Continuously Variable Transmission ( CVT)

Ninaomba ushauri kuhusu faida za CVT na je yana hasara gani pia? Hapa Tz mafundi na vipuli vinapatikana wapi? Nk
Faida za cvt
.hupunguza gharama
.huokoa muda
.hulinda gari
.efficiency iko juu

Hasara za CVT
Haipatikani kila mahali
Ukiweka tofauti umeua gearbox
 
Zote ni 5w30 je tofauti ni ipi ingawa moja lita 4 na nyingine lita 1 au dumu tu wamebadilisha packaging? View attachment 1624415
MVIMG_20201111_172306.jpg
 
Wajuzi wa mambo naombeni ushauri wenu nina gari Toyota Avensis iliua engine nilivyoenda mkoani ikanilazimu nirudi Dar kununua engine nyingine, nikanunua engine 1AZ ya toyota Noah Vox pamoja control box na wiring yake yote, baada ya kufunga engine gari iliwaka vizuri ila changamoto ikawa ukiwe gear D gari inazima hapo hapo ila ukiweka riverse R gari inasogea vizuri, naombeni mawazo yenu kwa wale wenye uzoefu na haya magari yanayotumia mifumo ya umeme

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo liko kwenye gearbox bro hebu fundi aangalie tena wakati anarudishia system

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Heri ya mapumziko ya Krismass na mwaka mpya ujao!

Naulizia expert wa vifaa au spea original za Honda CRV, first Generation - RD1 zinazotumia injini ya B20B au Contacts za fundi yeyote mmbobezi wa kusuka injini ya gari hizo tafadhali
IMG_20201226_074836.jpeg
 
Gari haina misfire,engine inavuta
Vizuri,TATIZO utumiaji wake wa mafuta upo juu Sana yaani km 5 per litre.Mafundi wananiambia tatizo Ni control box.Je wapo sawa.Ni Suzuki escudo old model CC 1590.
 
Back
Top Bottom